Hao ni wahuni tu,Niko pamoja na Mh raisi
Ha ha ha ha ha ha ha!Ukisikiliza kesi ya yapande moja utahukumu pande moja ngoja wenyewe waje tusifanye siri wakat wakuwalipa fidia tuite vyombo vya habar
Soma post namba 9.Yaan hawa acacia ni mboga yetu inayo tufaa kwa ugali tulio nao tutamla taratibu had akae sawa ..naona wanatoa vyeti adi wanasahau wanatoa vyeti alivyo acha barrick ..watatoa had vyeti vya kifo
Hakuna muhuni kama yule aliyewaruhusu kuchimba madini bila kufata utaratibu. Mnalo hiliHao ni wahuni tu,Niko pamoja na Mh raisi
Hapo wamegonga mwamba,wakae tu na serikali waeleze watalipa vipi Trilioni 55 zetuHapa nampongeza Mr Presidaaa
Kwa kuwa interested na kazi hii ya kupambana na majizi ya Uchumi wetu,kwa hiyo hata wakishitaki huko nje ya nchi,hii kesi tutawashinda asubuhi mapema, mfano unaendesha gari harafu lijamaa linakugonga kwa nyuma, unamwambia tupige tasimini tulipane yeye anakuambia muende police na huku hana leseni.