Kumbatio la SIRIKALI kwa LOWASSA

Mwacheni rais wetu cpt mstaaafu ajipange kuelekea kinyang'anyiro 2015. Sio kwamba anakumbatiwa uwezo wake wa kiutawala na kufanya maamuzi sahihi na kwa wakati hauna mashaka na kwa sasa wote twaona pengo lake. Na mara nyingi mti unaorushiwa mawe ndo wenye matunda matamu. Hofu yenu nini jamani. VIVA Capt.....go...go.go..my hero!.....
 
Huu ndio ukosefu wa busara walio nao viongozi wa juu wa CCM. Mtu mwenye tuhuma kama huyu hapaswi kuwekwa karibu kiasi hiki na serikali iliyopo madarakani. Kwa kufanya hivyo huwa wanajiuliza wanamuweka wapi Mwakyembe aliyeongoza uchunguzi uliomlipua Edo? Kwa sasa inakuwa kama Mwakyembe ndio mtuhumiwa na Edo ni alionewa. In fact mwanzoni Pinda alifanya kila jitihada kuji-distance na Edo, hata kumwambia Edo asahau ndoto zake za kuwa raisi baada ya JK, matokeo yake Pinda nae wakataka kumuondoa U-PM. Tatizo la viongozi wengi wa CCM ni kwamba wanakosa what should be common to all the people - common sense.

Na huo katikati ni msalaba ukiwakilisha makanisa yanayomkumbatia Edo nadhani.
 
Ni kweli EDO alionenewa.Everyone is innocent unless proved otherwise before the court of law. Mahakama gani ilithibitisha EDO ana hatia?. Edo alipewa nafasi ya kujitetea kama principle of natural justice inavyotaka? je hiyo 2me ya Mwaky ilimuhoji Edo? cku zote mtuhumiwa c anahojiwa! mpaka hapo huoni kuwa ni sahihi kusema EDO alionewa na labla kulikuwa na ki2 nyuma yake?
 
Nianze kwa salam kwa wana jamvi,kwnza kabisa nimekuwa navutwa sana na mada mbalimbali za
jamnvini, hatimae nami najiweka kama hiyo, hongereni kwa kazi nzuri by chandira. El ndio mikato yake
hyo yakumlinda nadhani ndio style ya law of succession..., jf daima
 
Piga debe kwa bidii upate ujira watoto waende choo.
 
Waache wamkumbatie, watavuna mabua 2015.
 

Kutaka tuamini kuwa mtu huyu ni mpole na mnyonge kiasi cha kukubali kuonewa ni uongo usiokubalika
Huo unyonge aliuanza lini?
Mkuu wa mtandao aonewe na tawi la mtandao?
Msitutukane kwa kutuona hatuna akili
Mahakama ipi utamshtaki atiwe hatiani wakati hata mmoja wa majaji walioteuliwa awamu ya nne alikuwa mwanasheria wake?
Kama kijana mdogo wa CCM amehusishwa na utekaji nyara wa mtu na polisi hawakudiriki hata kumhoji, itakuwa mheshimiwa huyu?
 
el ni rais mtarajiwa wa tz mtake msitake mumchague msimchague huo ndio ukweli
 
Unyonge wa mtu huyu umeanza lini hadi aonewe?
Ukiona mtu mbabe amebanwa akakaa kimya jua anaona aibu na fedheha
Kwa nini toka 2008 aje ajitetee 2012?
Mbona ameshtaki gazeti juzi MCT
Kwa nini asiwashtaki waliomtuhumu mambo ya Richmond na jengo la UVCCM?
 
Wewe umetumwa ,kalia ndoto zako yatakukuta yaliyomkuta mjusi kwenye nyumba ya nyansi.arumeru mlisema hivyo sasa mmejionea wenyewe yaliyotokea na 2015 mtajiaminisha hivyo na wananchi watawaacha mdomo wazi.kwani nyie hamuoni au?
 
edo anaota mchana tena kweupeee ngoja ataona nguvu ya umma

2015 ila wapambe wanazidi kumdanganya kuwa atashinda ili wamlie pesa

aendelee kuturudishia pesa zetu alizotuibia hadi 2015 atakua amerudisaha nyingi tuu
 
Mie niliwahi kuuliza hapa mwenye tuhuma za Edo kuwa kaiba wapi na kaiba nini alete humu mtandaoni.Sikupata jibu.Je Edo kaiba nini na wapi? Kusema tu Richmonduli haitoshi.Mimi simtetei Lowassa ila najuwa jamaa ni mtendaji wa ukweli.Mnakumbuka City Water ilivyonyooshwa na Lowassa? Nadhani katika CCM wote ni mashetani na katika mashetani wote bora Lowassa, kwa sababu jamaa anweza ku-deliver!
 
Akatafute nchi ya mashetani wenzake akaongoze huko!
I suggest uarabuni maeneo wanayolima bangi kule
 

The Roadmap to 2015 is set from Arumeru East 2012. No way out
 

Aisee mkuu safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…