Habari, inategemea na hiyo nani amehost..ila kwa ujumla zote hosting na domain wengi wanafanya <200k
Karibu The Computer Skills kwa mahitaji yako ya ICT Training & Consultancy
tupigie: 0717 71 85 19
Tuandikie: consultancy@comskills.co.tz
Tembelea: www.comskills.co.tz
NI kweli kuna downpayment ila kwa sababu hakuna bank guarantee inayotolewa na kwa sababu biashara za sisi wa bongo hua hazitabiriki nadhani alipie 20% ,then na progressive payment kulingana na kazi imefika wapi