ProfileCMMType | lcms |
ProfileVersion | 2.1.0 |
ProfileClass | Display Device Profile |
ColorSpaceData | RGB |
ProfileConnectionSpace | XYZ |
ProfileDateTime | 2012:01:25 03:41:57 |
ProfileFileSignature | acsp |
PrimaryPlatform | Apple Computer Inc. |
CMMFlags | Not Embedded, Independent |
DeviceManufacturer | |
DeviceModel | |
DeviceAttributes | Reflective, Glossy, Positive, Color |
RenderingIntent | Perceptual |
ConnectionSpaceIlluminant | 0.9642 1 0.82491 |
ProfileCreator | lcms |
ProfileID | 0 |
ProfileDescription | c2 |
ProfileCopyright | FB |
MediaWhitePoint | 0.9642 1 0.82491 |
MediaBlackPoint | 0.01205 0.0125 0.01031 |
RedMatrixColumn | 0.43607 0.22249 0.01392 |
GreenMatrixColumn | 0.38515 0.71687 0.09708 |
BlueMatrixColumn | 0.14307 0.06061 0.7141 |
RedTRC | (Binary data 64 bytes) |
GreenTRC | (Binary data 64 bytes) |
BlueTRC | (Binary data 64 bytes) |
Nimepata META DATA za picha iliyowekwa kuelezea kuwa Myika alikuwa kwenye Secretariety inaonesha kuwa picha hiyo ni ya 2012. Kwahiyo bwana @RUCCI Tumuweke naye katika kundi la kutokuaminika. Hizi hapa ndizo tarifa za hiyo picha iliyo wekwa
Camera
Camera info not found.
Author and Copyright
Copyright not found.
Location
GPS coordinates not found.
EXIF
EXIF data not found.
XMP
XMP data not found.
Maker Notes
Maker Notes data not found.
ICC Profile
ProfileCMMType lcms ProfileVersion 2.1.0 ProfileClass Display Device Profile ColorSpaceData RGB ProfileConnectionSpace XYZ ProfileDateTime 2012:01:25 03:41:57 ProfileFileSignature acsp PrimaryPlatform Apple Computer Inc. CMMFlags Not Embedded, Independent DeviceManufacturer DeviceModel DeviceAttributes Reflective, Glossy, Positive, Color RenderingIntent Perceptual ConnectionSpaceIlluminant 0.9642 1 0.82491 ProfileCreator lcms ProfileID 0 ProfileDescription c2 ProfileCopyright FB MediaWhitePoint 0.9642 1 0.82491 MediaBlackPoint 0.01205 0.0125 0.01031 RedMatrixColumn 0.43607 0.22249 0.01392 GreenMatrixColumn 0.38515 0.71687 0.09708 BlueMatrixColumn 0.14307 0.06061 0.7141 RedTRC (Binary data 64 bytes) GreenTRC (Binary data 64 bytes) BlueTRC (Binary data 64 bytes)
Naomba tuache ubabaishaji
Hivi Mwaka 2012 Salum mwalimu alikuwa kiongozi wa CDM? Naomba kufahamishwa mleta mada
Hebu Drag na drop kwenye mtandao huu utajua hiyo picha ina taarifa ganiHivi Mwaka 2012 Salum mwalimu alikuwa kiongozi wa CDM? Naomba kufahamishwa mleta mada
Hebu Drag na drop kwenye mtandao huu utajua hiyo picha ina taarifa gani
online metadata and exif viewer
Hebu Drag na drop kwenye mtandao huu utajua hiyo picha ina taarifa gani
online metadata and exif viewer
Hapa tunaongelea technology dada. Ndani ya picha kuna taarifa zilizojificha ukipiga camera zinahifadhiwa. Mambo ya common sens ni ya kwako.jaribi muda mwingine kutumia "common sense". Picha hiyo kama haijawahi kuwekwa kwenye mtandao kabla itakupa taarifa za uongo.
2012 Mnyika alikuwa havai miwani
Hapa tunaongelea technology dada. Ndani ya picha kuna taarifa zilizojificha ukipiga camera zinahifadhiwa. Mambo ya common sens ni ya kwako.
Nimesema kulingana na taarifa zilizo ndani ya hiyo picha inaonekana ni 2012. issue za ndani ya chama chenu siyajui kama alikuwa kiongozi au la. kwani kuteta na mbowe pale ndio maana ya kuwa kiongozi. Acheni uongo.Salum mwalimu alikuwa kiongozi wa chadema 2012 jibu twende sawa mkuu! Meza kuu inaonyesha mbowe akiteta jambo na Mwalimu
Salum mwalimu alikuwa kiongozi wa chadema 2012 jibu twende sawa mkuu! Meza kuu inaonyesha mbowe akiteta jambo na Mwalimu
Hivi Mwaka 2012 Salum mwalimu alikuwa kiongozi wa CDM? Naomba kufahamishwa mleta mada
Nimesema kulingana na taarifa zilizo ndani ya hiyo picha inaonekana ni 2012. issue za ndani ya chama chenu siyajui kama alikuwa kiongozi au la. kwani kuteta na mbowe pale ndio maana ya kuwa kiongozi. Acheni uongo.
Kwann CDM wanajaribu kuaminisha watu kwa propaganda??
Kwani kudanganya kwamba mtu yuko kwenye kikao wakati hayupo huwa kuna faida gani???