Freetown JF-Expert Member Joined Apr 6, 2008 Posts 882 Reaction score 81 Jun 21, 2013 #1 Wanajukwaa kimetokea nini Tanzania daima mtandaoni bado ina habari za tarehe 17-06-13, kwa anayejua tafadhali anijulishe, je na gazeti la Tanzania daima lipo mitaani???
Wanajukwaa kimetokea nini Tanzania daima mtandaoni bado ina habari za tarehe 17-06-13, kwa anayejua tafadhali anijulishe, je na gazeti la Tanzania daima lipo mitaani???
Laurent Mshani Member Joined Jul 29, 2012 Posts 15 Reaction score 1 Jun 21, 2013 #2 Mm mwenyewe silioni labda wamelifungia. Maana hawachelewi.