mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,775
- 2,198
Wamepigwa ban mkuu wote hao watatu na serikali.Mimi ni mpenzi mkubwa wa kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa kila siku asubuhi na Clounds FM. Sijui kimetoke nini siku za hivi karibuni kwa kuwa magwiji wa kipindi hiki wakiwemo Fetty, Caesar chini ya kiongozi Masoud Kipanya siwasikii tena. Nasikia sauti za watangazaji wengine amabo wanapwaya sina na kufanya kipindi kikose ladha. Je Masoud na wenzie wamekwenda wapi? Kama wamepelekwa vitengo vingine namsihi Boss Kussaga awarudishe haraka maana kipindi pendwa kinakufa.
alikuja na Mwenge huyuWewe ni mgeni hapa tz?
Hawajafungiwa,wamekosa vigezo vinavyohitajika kuifanya hiyo kazi, yaani weledi.Wamefungiwa!!
Sasa hao Clouds wangekuwa wanawaita hao wakina Kipanya na wenzake waliopigwa ban kama wageni waalikwa na wachambuzi sio watangazaji kipindi kinaenda ,wanakuwa wanachambua na kuhoji wageni aaah aaah akili akili akili alafu wanawapiga poshoWamepigwa ban mkuu wote hao watatu na serikali.
Na sio hao tu hata Maulid kitenge hayupo n.k
Farhan ni kijana ambaye anaianza career yake. Bado anahofu nyingi sana kwa future yake. Ni kijana mchapakazi na mwenye bidii ya kujifunza mengi sana. Tumpe muda.Mimi ni mpenzi mkubwa wa kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa kila siku asubuhi na Clounds FM. Sijui kimetokea nini siku za hivi karibuni kwa kuwa magwiji wa kipindi hiki wakiwemo Fetty, Caesar chini ya kiongozi Masoud Kipanya siwasikii tena.
Nasikia sauti za watangazaji wengine ambao wanapwaya sina na kufanya kipindi kikose ladha. Je Masoud na wenzie wamekwenda wapi? Kama wamepelekwa vitengo vingine namsihi Boss Kussaga awarudishe haraka maana kipindi pendwa kinakufa.
Weledi wa chama cha mapinduzi. Kwa lugha nyingine uchawaHawajafungiwa,wamekosa vigezo vinavyohitajika kuifanya hiyo kazi, yaani weledi.
Maulid kitenge sio wa mawinguWamepigwa ban mkuu wote hao watatu na serikali.
Na sio hao tu hata Maulid kitenge hayupo n.k
Hapana, hii ni taaluma zaidi kama ilivyo NBAA na bodi nyinginezo za taaluma.Weledi wa chama cha mapinduzi. Kwa lugha nyingine uchawa
Duh, nashindwa kuelewa ukweli ni upi maana majibu yanatofautiana - mara wamepigwa ban, mara hawana vyeti n.k. Kwa maoni yangu sababu zote hizo hazina mashiko. Kama ni suala la vyeti basi itakuwa sababu dhaifu sana. Waajiri wengi sikuu hizi ni kuwa na uwezo(skills) katika kazi fulani na siyo vyeti. Masoud na wenzie walikuwa na vipaji vikubwa katika fani ya utangazaji. Ukiangalia hata kwenye mainstream media za kimataifa utakuta baadhi ya watangazaji kama Anderson Coooper au Piers Morgan wa CNN, wote hawa hawakasomea journalism. Lakini ni magwiji wa utangazaji huko waliko. Hapa nyumbani mchukue mtu kama Jenerali Ulimwengu. Hajasomea uandishi wa habari lakini anaheshimika katika hiyo fani hapa nyumbani na kimataifa.Wamepigwa ban mkuu wote hao watatu na serikali.
Na sio hao tu hata Maulid kitenge hayupo n.k