Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 16,335 Reaction score 37,773 May 10, 2022 #1 Nasikia kila mtu anaomba sasa nani atamuhesabu mwenzake? Wakuu hili tatizo la ajira inabidi tutafakari kwa pamoja kama taifa.
Nasikia kila mtu anaomba sasa nani atamuhesabu mwenzake? Wakuu hili tatizo la ajira inabidi tutafakari kwa pamoja kama taifa.
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,319 Reaction score 83,199 May 10, 2022 #2 Mbona waombaji hawajafika hata laki 3
shibela JF-Expert Member Joined Jul 3, 2018 Posts 3,794 Reaction score 13,474 May 10, 2022 #3 Kwani wanatakiwa wenye sifa gani na mimi nikaombe?
Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 16,335 Reaction score 37,773 May 10, 2022 Thread starter #4 shibela said: Kwani wanatakiwa wenye sifa gani na mimi nikaombe? Click to expand... Nadhan wanataka kuanzia form 4
shibela said: Kwani wanatakiwa wenye sifa gani na mimi nikaombe? Click to expand... Nadhan wanataka kuanzia form 4
Nas Jr JF-Expert Member Joined May 15, 2018 Posts 7,918 Reaction score 8,712 May 10, 2022 #5 Bado watakaochaguliwa ni wachache tu wanaohitajika.. Vip kwani hilo pia linakuumiza mkuu.!??
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 28,219 Reaction score 39,701 May 10, 2022 #6 Haya_Land said: Mbona waombaji hawajafika hata laki 3 Click to expand... Wamechanja?
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 14,232 Reaction score 32,053 May 10, 2022 #7 Lavit said: Nasikia kila mtu anaomba sasa nani atamuhesabu mwenzake? Wakuu hili tatizo la ajira inabidi tutafakari kwa pamoja kama taifa. View attachment 2219014 Click to expand... Du kaz kwel kwel
Lavit said: Nasikia kila mtu anaomba sasa nani atamuhesabu mwenzake? Wakuu hili tatizo la ajira inabidi tutafakari kwa pamoja kama taifa. View attachment 2219014 Click to expand... Du kaz kwel kwel