Ni za kweli kwamba iko ndani ya DRC na kuna watu wanaishi huko, pia kuna madini, misitu na mambo kadha wa kadha. Ni sehem nzuri pia kwa biashara ya utalii wa kivita za makundi ya silaha na mwisho ni kweli kabisa kundi la M23 lilikua likiumiliki huo mji baada ya kuuteka toka kwa serikali ya DRC.
Inatosha au bado niendelee kufunguka kuhusu populations and gender count??
Mh!we jamaa mchokozi au mchochezi wenzako chama la wezi wako full propaganda pro uwizi chama la watu chama la watu ni bahati wanaongoza wafu ...........nimeuzingonda meku!...................ololoooo