kulala kupita kiasi

korino

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
1,004
659
habari zenu wanajamii! nina ujauzito wa miezi 9 sasa lakn nina tatizo la kulala usingizi mzito kila wakati!kadri cku znavyoendelea huwa nazidi kulala sana! asubuhi nikishaamka nakunywa chai nzuri baada ya kunywa tu nacnzia sana so nakwenda kulala! siamki mpaka mchan mda wa kula na nikimaliza tu nalala tena hadi jion ambapo nafanya working! inshort ucngizi umenijaa! najitahd kujicontrol lkn nashindwa! kichwa mda mwingi kizito na macho mazito! natumia vidonge vya folic acid pamoja na fefol! nisaidieni jaman hili tatizo ni kawaida au ni ugonjwa?7bu naskia wajawazito wengi kipindi cha mwezi wa mwisho wanakuwa hawapati usngizi lkn sio mimi jamani nalala kupitakiasi!ahsanteni
 
kwanini usiende kupima damu, choo na urine,labda unaweza pata ufumbuzi kuanzia hapo.

damu na urine huwa napima mara kwa mara,labda niende hosp kwa kupma choo kikubwa! shukran kwa ushauri wako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…