yahoo JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 3,526 Reaction score 1,410 Oct 20, 2014 #21 pia..simba ndo inaongoza kwa kuingiza mashabiki wengi viwanjani ,hata msimu uliopita pita..amavubi ongezea nyingine..
pia..simba ndo inaongoza kwa kuingiza mashabiki wengi viwanjani ,hata msimu uliopita pita..amavubi ongezea nyingine..
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Oct 20, 2014 Thread starter #22 cnjona said: sasa jiulizeni kwa nini mashabiki wa simba walifurahi sana kupata sare, wakati mashabiki wa yanga ni kama wamefumgwa vilee! Click to expand... sababu zipo nyingi moja umeitaja tayari
cnjona said: sasa jiulizeni kwa nini mashabiki wa simba walifurahi sana kupata sare, wakati mashabiki wa yanga ni kama wamefumgwa vilee! Click to expand... sababu zipo nyingi moja umeitaja tayari
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Oct 20, 2014 Thread starter #23 yahoo said: pia..simba ndo inaongoza kwa kuingiza mashabiki wengi viwanjani ,hata msimu uliopita pita..amavubi ongezea nyingine.. Click to expand... ni kweli kabisa kwa sababu hata mechi za yanga mashabiki wa simba wanakuja kwa wingi ilihali mecho za simba wa yanga wananyuti
yahoo said: pia..simba ndo inaongoza kwa kuingiza mashabiki wengi viwanjani ,hata msimu uliopita pita..amavubi ongezea nyingine.. Click to expand... ni kweli kabisa kwa sababu hata mechi za yanga mashabiki wa simba wanakuja kwa wingi ilihali mecho za simba wa yanga wananyuti