Kula Yanga Kulala Simba

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Moja ya matukio yaliyosisimua wengi katika mchezo wa Simba na Coastal ni pale mchezaji nguli na Nahodha wa zamani wa Simba Juma K Juma alipotua uwanjani na moja kwa moja kwenda eneo wanalokaa washabikiw wa Simba SSC

Ama kweli Chui hawezi badili madoa yake
 
Mafans wa Simba Sc ni tofauti na mashabiki wa mtaa wa pili, ambapo tunaona wakinunuliwa kwa bei rahisi tu.
 
Sio KASEJA pekee hata hawa ni SIMBA SC:
BARTHEZ
DIDA
YONDANI
MSUVA
JAVU
{BIN KLEIB}
{MANJI }wapo kibiashara YANGA.
 
mpira ulipoisha niliangalia wachezaji waliokimbilia uzi mwekundu wakiwemo Niyonzima na Oscar Joshua
Msuva ndio kabisaaaa hata Viatu vilikua VYEKUNDU
Sio KASEJA pekee hata hawa ni SIMBA SC:
BARTHEZ
DIDA
YONDANI
MSUVA
JAVU
{BIN KLEIB}
{MANJI }wapo kibiashara YANGA.
 
Kipa wa Yanga, Deogratius Munishi ‘Dida' amesema kipa kinda wa Simba, Peter Manyika, ndiye anastahili kuwa mchezaji bora wa mechi yao ya Jumamosi.

Dida alifunguka kuwa kama angepewa nafasi ya kuchagua mchezaji bora wa mechi katika mchezo wa juzi kati ya Yanga na Simba, bila kipingamizi angempa tuzo yosso huyo wa miaka 18, kauli iliyoungwa mkono na kipa mkongwe nchini, Juma Kaseja.
 
Amavubi upo makini!
hata viatu vya NIYONZIMA umevitafuthili! Ushindi wa yeboyebo kwa mnyama ni droo. Mpaka wakistuka.
 
kweli hata mi nimeona hata manji,ngasa,msuua,jaja,maksimo riz1 ni simba dam..sema wanatafuta umarufu wagombee ubunge
 
amavubi upo makini!
Hata viatu vya niyonzima umevitafuthili! Ushindi wa yeboyebo kwa mnyama ni droo. Mpaka wakistuka.
hata wao wanajua fika na kasumba hii nitawala sana
 
kweli hata mi nimeona hata manji,ngasa,msuua,jaja,maksimo riz1 ni simba dam..sema wanatafuta umarufu wagombee ubunge
kwa mara ya kwanza umenena ukweli
 
CHEKI oSCAR ALIVYOIFURAHIA JEZI YA MNAMA HADI KAKUNJA NGUMI YA USHANGILIAJI
 

mSUVA AMESHINDWA KABISA KUZIMA HISIA ZAKE KWA MNYAMA
 
hata jengo la yanga ni la simba,zile rangi za njano na kijani ukikwangua ndani unakutana na nyekundu na nyeupe..over
 
Sasa jiulizeni kwa nini mashabiki wa simba walifurahi sana kupata sare, wakati mashabiki wa YANGA ni kama wamefumgwa vilee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…