Kula Dinner na Barack Obama $40,000/= per Person.

Davie S.M

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
748
228
Katika Pita pita zangu Mitandaoni nikakutana na Tangazo hilI La Obama atakuwa na anAfAnyiwA Fund Rising sijuI nDio Harambee leo Usiku (saa za Huku)Katika Club ya 40/40,NY

Club hii inamilikiwa (Partner) na Bwana Sean Carter (JayZ) na Ambaye atahoSt Shughuli Nzima ni Beyonce.

Cha Zaidi JaYZ tayAri ameshamlipia Mr.President pamoja na convo ya 40 people.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
mbege na ndafu itakuwepo nijirushe chapu mimi shuhuli mingi!
 
Jamani, mbona 40 imetawala?
Ukumbi 40/40
ujumbe watu 40
chakula $ 40,000
Je, nini siri yake? Usije shangaa watakusanya $ 40,000,000
 

jk aige
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…