Habari wana jf, nauza kuku wa nyama wakubwa kwa ajili ya migahawa, hotel na watu binafsi. Mimi nakaa pugu kikazi nipo muhimbili hospital, naleta kuku kwa order. Bei ni 6,500/- tu.
Kwa mawasiliano piga 0712 101017 au 0762101178
Nashukuru kwa ushirikiano wako.