upupu JF-Expert Member Joined Apr 15, 2008 Posts 614 Reaction score 198 Feb 8, 2015 #1 Kuku wa kizungu hakimbizwi ili kuchinjwa, ni kumchukua na kumchinja tu, hakuna kutumia nguvu nyingi...!! Kwa mida hii (2:50am) kuku ni wengi hapa, ni kuchuka na kuchinja, hakuna kukimbiza!!
Kuku wa kizungu hakimbizwi ili kuchinjwa, ni kumchukua na kumchinja tu, hakuna kutumia nguvu nyingi...!! Kwa mida hii (2:50am) kuku ni wengi hapa, ni kuchuka na kuchinja, hakuna kukimbiza!!
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,835 Reaction score 14,727 Feb 8, 2015 #3 Husomeki mkuu...
S snail JF-Expert Member Joined Nov 8, 2012 Posts 462 Reaction score 142 Feb 8, 2015 #4 FIDA said: Wapi wanapatikanana ----- Click to expand... uwanja wa fisi sema ushachelewa nenda leo mida kama alotaja mtoa habar hapo juu
FIDA said: Wapi wanapatikanana ----- Click to expand... uwanja wa fisi sema ushachelewa nenda leo mida kama alotaja mtoa habar hapo juu
M MNFUMAKOLE JF-Expert Member Joined Nov 14, 2014 Posts 1,740 Reaction score 2,324 Feb 8, 2015 #7 sizani kama mtoa mada anamanisha kuku ktk maana halisi!
upupu JF-Expert Member Joined Apr 15, 2008 Posts 614 Reaction score 198 Feb 8, 2015 Thread starter #8 FIDA said: Wapi wanapatikanana ----- Click to expand... Mkuu umechelewa wameisha, tusubir leo tena!! Si mchezo, tatizo nyama ni laini sana, halafu fasta unaimaliza
FIDA said: Wapi wanapatikanana ----- Click to expand... Mkuu umechelewa wameisha, tusubir leo tena!! Si mchezo, tatizo nyama ni laini sana, halafu fasta unaimaliza
KikulachoChako JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 19,765 Reaction score 39,524 Feb 8, 2015 #9 Lakini kasoro ni kuwa hawana ladha kama kuku wa kienyeji....ingawa wana matunzo duni..........
upupu JF-Expert Member Joined Apr 15, 2008 Posts 614 Reaction score 198 Feb 8, 2015 Thread starter #10 Sure, matunze mengi mazuuuri, ladha mbaya
HP1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2012 Posts 3,362 Reaction score 878 Feb 8, 2015 #11 Unamtafuna mpaka mifupa
Alure JF-Expert Member Joined Dec 27, 2014 Posts 1,100 Reaction score 1,054 Feb 8, 2015 #12 HP1 said: Unamtafuna mpaka mifupa Click to expand... ukitafuna mifupa mzee ujue imekula kwako
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,351 Feb 8, 2015 #13 Ladha ya kuku umle wa kienyeji tena wale wanaotoka uswekeni kule!
Gama JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 13,264 Reaction score 4,740 Feb 8, 2015 #14 KikulachoChako said: Lakini kasoro ni kuwa hawana ladha kama kuku wa kienyeji....ingawa wana matunzo duni.......... Click to expand... Hata karatasi inaradha bans!!!!!!!!
KikulachoChako said: Lakini kasoro ni kuwa hawana ladha kama kuku wa kienyeji....ingawa wana matunzo duni.......... Click to expand... Hata karatasi inaradha bans!!!!!!!!
ferre.g JF-Expert Member Joined Mar 3, 2013 Posts 2,215 Reaction score 329 Feb 8, 2015 #15 Kaz kwel kweli