Habari za Leo wadau..
Nafikiria kuanza kuuza kuku wa kienyeji, je kuna mtu anafahamu wapi naweza kununua kuku wa kienyeji kwa jumla kwa bei ya chini ili niweze kuja kuuza rejareja dar?

habari za leo wadau..
Nafikiria kuanza kuuza kuku wa kienyeji, je kuna mtu anafahamu wapi naweza kununua kuku wa kienyeji kwa jumla kwa bei ya chini ili niweze kuja kuuza rejareja dar?
singida kwa bei nafuu,ila kama unataka faida kubwa bora uwafuate mkoa wa rukwa jogoo kubwa unapata kwa chini ya sh.5000 ktk kijiji cha tamasenga x-wanga..

Kuku wa kienyeji mara nyingi huwa na Faida sana kama ww mwenyewe utakua unawafuatilia huko huko Vijijini,
Kwa kua watu wanaoleta kutoka ktk vijiji ni Madalali, Hivyo huongeza bei ya kuku kutoka eneo moja mpaka lingine, Kwa mfano unaweza kupata kuku kwa Tsh 7,000 wewe ukaja kuuza Tsh10,000 .