imanmull, Mkuu....
Unapo weka tangazo la biashara ama bidhaa, nivyema ukaweka na bei elekezi pamoja na location/wapi unapatikana.
Achana na mambo ya kuuza bidhaa kwa bei za hisia, na kudhani kwamba kila mmoja anafahamu unapo patikana.
Na, usidanganyike kwamba kuweka namba za mawasiliano basi ndio inatosha kufanya tangazo lako lionekane limekamilika.
Sent using
Jamii Forums mobile app