Kuna mtu anahitaji kuanza hii biashara wakuu,anahitaji kuku wa kienyeji machotara wanaokaribia kuanza kutaga kama 40 hvi,mwenye nao au kujua wanapopatikana msaada tafadhali