Wabongo tujitahidi huu mwaka 2016 tubadilike,tujifunze kuweka matangazo yenye kueleweka fanya mteja akutambue kwa haraka weka details katika tangazo lako ikiwemo Bei,location na hata discount if any.
NB: Biashara ni matangazo ina maana ukiweza tangazo vibaya na biashara yako itaonekana mbaya