Boss vp tena jamaa yangu umeviona wap tenaMbona naona kama vimejikondea sana hapo hauvipatiagi msosi nini mkuu
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
mkuu nimeku-pm ukasema unauza 12,000 nikaomba punguzo ndio ukaniambia 11,500... Acha uwongo wewe au ndio maana unaogopa kuweka bei hadharani..Huu ni utapeli..Boss mbona umepanga bei mm sijasema
aisee... kwa nini hukuweka bei hapa mwanzo.... kumbe P.M nyingi ni utapeli..πππHapana hujani pm mm nauza kuku mkubwa 12000 mdogo wa mwez 4500
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee hapa lazima upewe bei penda usipendemkuu nimeku-pm ukasema unauza 12,000 nikaomba punguzo ndio ukaniambia 11,500... Acha uwongo wewe au ndio maana unaogopa kuweka bei hadharani..Huu ni utapeli..
πππππItakuwa hivyo bwana sio mm huyo aliyeku pm hizo ndo bei zangu