Kukosekana umeme maeneo ya Tabata etc

Mkiliman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2011
Posts
984
Reaction score
345
Wanajamvi,

Sisi wakazi wa Tabata na maeneo mengine tumekosa umeme tangu saa 2 asbh leo, tar 07/09/13, hadi muda huu, saa 3 usiku.

Hapakuwepo tangazo la awali la katizo la umeme, labda kama walitangaza nami sikupata kusikia au kusoma popote.

Kwahiyo, kama kuna mtu mwenye taarifa za katizo la umeme au tatizo lolote lililopelekea giza nene, tafadhali tujulishane maana haifai hali ni mbaya.
 
mbezi beach ulikatika tokea asubuhi umerudi saa 1

Serikali inafanya makusudi kutoa mgao
 

Nitabata nzima haina umeme, nishida kwakweli mipia sijapata taarifa juu ya giza hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…