Habari wanajamvi, mie nina duku duku, kuna wenzangu wananiambia ni muhimu kujaza fomu ya tcu haraka , eti ukichelewa kujaza fomu ya tcu kuna hatari ya kukosa ulipoomba......naomba mnijuze tafadhali maana kwa sisi watoto wa mkulima pesa inatufanya tuchelewe..