Kukopesha ni moja kati ya msingi muhimu kwenye biashara, kwani humtengenezea Imani mteja ya kuwa we ndo mtu sahihi kufanya nae biashara kwani utamhudumia hata akiwa hana pesa
Lakini pia ni chanzo Cha kushuka kibiashara( cause sometimes sio wote wanaolipa), kupoteza wateja pindi unapowadai, na muda mwingine hupelekea uhasama kati muuzaji na mnunuzi
Jambo la muhimu ni kujua mteja gani sahihi kwa kukopeshwa na yupi si sahihi kwa mkopo, ili kuepukana na usumbufu usio wa lazima