Kukomoana......

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Duhh..siyo kihivyo, cheki hadi shati linataka kutatuka...inaonesha alianzia mbali tuu hiyo huenda ikawa pair ya tatu.. 3*3
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .......
 
Hiyo hatari!

Mtu bora apelekwe nyumbani na machela lakini sikukiacha chakula.
 
Mwacheni ale jamani michango inaumiza sana aisee utakuta kachangia kilo mbili hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…