Kukojoa baada ya uume kusimama

jema rashid

Member
Joined
Oct 4, 2014
Posts
80
Reaction score
15
Hivi ni kwanini uume wangu ukimakiza kusimama nasikia haja ndigo? Je! Kinachokuwa kimesimamisha uume ni mkojo au ni damu ambayo uingia kwenye mirija ya uume?
 
Ofcourse ni damu.., na huo unaosikia sio mkojo, ni sperms.., acha ujinga
 
hali ya hewa ilivyo, hii mukitu inahusika sanaa..:eyebrows:

 
umetoka sumbawanga siku za hivi karibuni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…