profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,596
- 3,442
Kilungule jirani na kanisa katoliki aunatafuta kijiko au greda la kukodi la bei nafuu,kuna shimo kubwa karibu na nyumba yangu,nataka kulifukia kwa matakataka,yapo jirani na shimo,eneo ni kilungule -mbagala,namba zangu 0784790629/0716328890,,naomba msaada kwa anaejua.
Na unabeba either lowbed mwenyewe gharama zako..,700,000 per 8 hrs a dayInakodishwa kwa masaa, kila masaa nane ni laki Saba. Mafuta ni yako unaweka mwenyewe .
Sent using Jamii Forums mobile app
ndiyo mkuu hapohapo,umeona nini?jinsi palivyo?
piga namba hizo ni maelewano mkuu wangu.Kusukumizia takataka kwenye shimo?
Unanilipa shilingi ngapi?
unalo mkuu?piga namba hizo tuongee,au unajua mahali ntapata cheaper?Inakodishwa kwa masaa, kila masaa nane ni laki Saba. Mafuta ni yako unaweka mwenyewe .
Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna linaloshindikana chini ya jua mkuu,piga namba hizo tuongee biashara.Inakodishwa kwa masaa, kila masaa nane ni laki Saba. Mafuta ni yako unaweka mwenyewe .
Sent using Jamii Forums mobile app
the biggest mistake you have is,you don't know what your talking.The biggest challenge you have is to challenge your own self-doubt and your laziness!
Sent using Jamii Forums mobile app
ndiyo mkuu hapohapo,umeona nini?jinsi palivyo?
asante mkuu nimefanikiwa jana,kuna jamaa kaja na kijiko kamaliza kazi.VP mkuu ulifanikiwa nimepita Leo hapo kanisa katoliki kuna dampo hapo n eneo hilo unapotaka kufanya hyo kaz au kuna jamaa yangu anakijiko na anapafahamu hapo au n sehemu nyingine pale kwa nyuma jirani na dukani kwa mangi naona napo wanatupa taka mkuu toa ufafanuz tuongee biashara
Sent using Jamii Forums mobile app