Amakando Senior Member Joined May 9, 2011 Posts 158 Reaction score 30 Aug 31, 2014 #1 Wadau, Tangu juzi imekuwa kawaida wakazi wa Tabata jijini Dar kulala bila umeme. Hii imejirudia tena saa hizi eneo hili hakuna umeme kabisa. Tafadhali yeyote mwenye kuweza kutujuza endapo kuna katizo la umeme au mgao tafadhalli.
Wadau, Tangu juzi imekuwa kawaida wakazi wa Tabata jijini Dar kulala bila umeme. Hii imejirudia tena saa hizi eneo hili hakuna umeme kabisa. Tafadhali yeyote mwenye kuweza kutujuza endapo kuna katizo la umeme au mgao tafadhalli.
M Master Legendary JF-Expert Member Joined Apr 28, 2013 Posts 579 Reaction score 887 Aug 31, 2014 #2 Hali ni tete Mkuu huku Kitunda Kivule hakuna toka juzi ile ulivyoanza kusumbua,Hili shirika lini litakufa aisee? Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Hali ni tete Mkuu huku Kitunda Kivule hakuna toka juzi ile ulivyoanza kusumbua,Hili shirika lini litakufa aisee? Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
HIMLER JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 429 Reaction score 227 Aug 31, 2014 #3 Ma luku inaendelia kukatika hata kama hamna umeme dahhhh nishiiiiida
prakatatumba JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 1,328 Reaction score 192 Aug 31, 2014 #4 Kunduchi pia hamna umeme,
N ndalandefu Senior Member Joined Nov 14, 2013 Posts 123 Reaction score 47 Aug 31, 2014 #5 kulikuwa kunatatizo kwenye transfoma iliyopo maeneo ya kipawa, tatizo lilitokea saa saba usiku wa juzi.
kulikuwa kunatatizo kwenye transfoma iliyopo maeneo ya kipawa, tatizo lilitokea saa saba usiku wa juzi.
Voice of Wisdom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2011 Posts 537 Reaction score 240 Aug 31, 2014 #6 Sijui kwenye makazi ya watu kuna logic gani kuwa na umeme mchana kisha usiku hauopo.
Amakando Senior Member Joined May 9, 2011 Posts 158 Reaction score 30 Aug 31, 2014 Thread starter #7 Voice of Wisdom said: Sijui kwenye makazi ya watu kuna logic gani kuwa na umeme mchana kisha usiku hauopo. Click to expand... Yani Mkuu hawa watu wa Taneaco sielewi wamelogwa na nani!
Voice of Wisdom said: Sijui kwenye makazi ya watu kuna logic gani kuwa na umeme mchana kisha usiku hauopo. Click to expand... Yani Mkuu hawa watu wa Taneaco sielewi wamelogwa na nani!
Amakando Senior Member Joined May 9, 2011 Posts 158 Reaction score 30 Aug 31, 2014 Thread starter #8 ndalandefu said: kulikuwa kunatatizo kwenye transfoma iliyopo maeneo ya kipawa, tatizo lilitokea saa saba usiku wa juzi. Click to expand... Kiongozi mie.sina ugomvi na hili shirika kama angalau tungekuwa tumejulishwa ili tujipange lkn kwa stahili hii wanatutia hasira sana.
ndalandefu said: kulikuwa kunatatizo kwenye transfoma iliyopo maeneo ya kipawa, tatizo lilitokea saa saba usiku wa juzi. Click to expand... Kiongozi mie.sina ugomvi na hili shirika kama angalau tungekuwa tumejulishwa ili tujipange lkn kwa stahili hii wanatutia hasira sana.
A Abunuas JF-Expert Member Joined Apr 8, 2011 Posts 8,812 Reaction score 1,824 Aug 31, 2014 #9 huku Arusha hatuna shida kabisa na umeme siku hizi.
Amakando Senior Member Joined May 9, 2011 Posts 158 Reaction score 30 Aug 31, 2014 Thread starter #10 Abunuas said: huku Arusha hatuna shida kabisa na umeme siku hizi. Click to expand... Ina maana umekuwa kawaida kuukosa au unamanisha kuwa huwa mnapata umeme kila siku?
Abunuas said: huku Arusha hatuna shida kabisa na umeme siku hizi. Click to expand... Ina maana umekuwa kawaida kuukosa au unamanisha kuwa huwa mnapata umeme kila siku?
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,199 Aug 31, 2014 #11 Tanesco nimewauliza wanajibu eti transfoma ya kipawa ina shida...sasa kipawa na tabata wapi na wapi..nimeamua kuwasha kitabari na ni mwendo wa kupapasa tu wife
Tanesco nimewauliza wanajibu eti transfoma ya kipawa ina shida...sasa kipawa na tabata wapi na wapi..nimeamua kuwasha kitabari na ni mwendo wa kupapasa tu wife