A-town JF-Expert Member Joined Oct 25, 2011 Posts 494 Reaction score 169 Sep 2, 2013 #1 [h=5]Sasa kujua kama umepata chuo ni rahisi kama abc hebu gonga hapa na uingize taarifa zako au za yule unayemfahamu Home[/h]
[h=5]Sasa kujua kama umepata chuo ni rahisi kama abc hebu gonga hapa na uingize taarifa zako au za yule unayemfahamu Home[/h]
G Gwada Member Joined Jun 19, 2013 Posts 6 Reaction score 0 Sep 2, 2013 #2 A-town said: [h=5]Sasa kujua kama umepata chuo ni rahisi kama abc hebu gonga hapa na uingize taarifa zako au za yule unayemfahamu Home[/h] Click to expand... Acha hizo watu wanamachungu bado hawajafanikiwa kupata vyuo,we unaweka uzi bila link acha ubwege
A-town said: [h=5]Sasa kujua kama umepata chuo ni rahisi kama abc hebu gonga hapa na uingize taarifa zako au za yule unayemfahamu Home[/h] Click to expand... Acha hizo watu wanamachungu bado hawajafanikiwa kupata vyuo,we unaweka uzi bila link acha ubwege
Erick zeph Stanley JF-Expert Member Joined Apr 25, 2013 Posts 647 Reaction score 73 Sep 2, 2013 #3 Gwada said: Acha hizo watu wanamachungu bado hawajafanikiwa kupata vyuo,we unaweka uzi bila link acha ubwege Click to expand... link ipo mkuu labda macho yako yana makengeza
Gwada said: Acha hizo watu wanamachungu bado hawajafanikiwa kupata vyuo,we unaweka uzi bila link acha ubwege Click to expand... link ipo mkuu labda macho yako yana makengeza
Pompoo JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 362 Reaction score 41 Sep 2, 2013 #4 haoni huyo..!! Bofya home hapo
B BISHOPSAMY Senior Member Joined Jul 31, 2013 Posts 101 Reaction score 5 Sep 2, 2013 #5 A-town said: [h=5]Sasa kujua kama umepata chuo ni rahisi kama abc hebu gonga hapa na uingize taarifa zako au za yule unayemfahamu Home[/h] Click to expand... A CITY,mambo vp??kijana wa ma home,man nimeona ayo majina,vp kuhusu wale wa NACTE cos amna namna yakuangalia ulipo pangwa cos tunatumia email,
A-town said: [h=5]Sasa kujua kama umepata chuo ni rahisi kama abc hebu gonga hapa na uingize taarifa zako au za yule unayemfahamu Home[/h] Click to expand... A CITY,mambo vp??kijana wa ma home,man nimeona ayo majina,vp kuhusu wale wa NACTE cos amna namna yakuangalia ulipo pangwa cos tunatumia email,
Landcruiser JF-Expert Member Joined May 27, 2013 Posts 1,805 Reaction score 601 Sep 2, 2013 #6 Gwada said: Acha hizo watu wanamachungu bado hawajafanikiwa kupata vyuo,we unaweka uzi bila link acha ubwege Click to expand... Macho yako yana matatizo, au leo miwani imepotea hilo neno "Home" ni nini.
Gwada said: Acha hizo watu wanamachungu bado hawajafanikiwa kupata vyuo,we unaweka uzi bila link acha ubwege Click to expand... Macho yako yana matatizo, au leo miwani imepotea hilo neno "Home" ni nini.
Facilitator JF-Expert Member Joined Oct 30, 2010 Posts 2,279 Reaction score 1,772 Sep 2, 2013 #8 Gwada said: Acha hizo watu wanamachungu bado hawajafanikiwa kupata vyuo,we unaweka uzi bila link acha ubwege Click to expand... sio bure umekosa chuo, kwa jinsi unavyokurupuka, nenda VETA tu.
Gwada said: Acha hizo watu wanamachungu bado hawajafanikiwa kupata vyuo,we unaweka uzi bila link acha ubwege Click to expand... sio bure umekosa chuo, kwa jinsi unavyokurupuka, nenda VETA tu.
mayuni JF-Expert Member Joined Apr 23, 2012 Posts 404 Reaction score 32 Sep 2, 2013 #9 we gat you boy