Kujitolea kufanya kazi

kinyangesi

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
247
Reaction score
86
Habari ndugu zangu.

Mimi ni kijana (kiume) ninayesoma chuo kikuu cha mt. Augustine mwaka wa tatu, degree ya kwanza (bachelor of Arts with Education). Nipo tayari kujitolea kufanya kazi (bila malipo) katika taasisi yoyote (ni vema ikawa ya kusaidia watu/isiyo ya faida) kwa mwezi mmoja yaani kuanzia tar8/2/2014 hadi 12/3/2014. ili kunisaidia ikiwa nitapata ndani ya mkoa wa Ruvuma.

Naomba ndugu kwa yeyote anayefahamu taasisi izo au kujihusisha nazo anisaidie kwa kuniPM then tuwasiliane
 
Kwanini usiende Songea boiz au girls ukafundishe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…