Dada hongera kumpata mwana....Vyakula vinategemea na geographical location yako...
Ungekuwa Uhayani ningekuambia wakupondee ndizi Bukoba mixer maziwa na siagi ya kutosha...M
Mbeya Uji wa ulezi/Matoke mix maziwa na vikorombwezo vya Kinyakyusa/Kisafa/Kimalila/Kindali...
Mara Uch wa Moto Mura...
Moshi unapiga Kitawa (ndizi zilizopondwa & maziwa mtindi) plus Mlaso(damu ya ng'ombe inayotolewa shingoni & maziwa)
umasaini Kitalolo (Uji & maziwa)
Wenye kujua zaidi wataongeza...

kwanza kabisa ili kuepuka chango
kunywa safari baridiiiii hiyo ni baada tu ya kudeliver ,hapo chango utaliskia kwa jirani,baada ya hapo kaa muda kidogo
muda piga maziwa fresh ya moto,ndio mitori na supu ifwate!!
Dada hongera kumpata mwana....Vyakula vinategemea na geographical location yako...
Ungekuwa Uhayani ningekuambia wakupondee ndizi Bukoba mixer maziwa na siagi ya kutosha...M
Mbeya Uji wa ulezi/Matoke mix maziwa na vikorombwezo vya Kinyakyusa/Kisafa/Kimalila/Kindali...
Mara Uch wa Moto Mura...
Moshi unapiga Kitawa (ndizi zilizopondwa & maziwa mtindi) plus Mlaso(damu ya ng'ombe inayotolewa shingoni & maziwa)
umasaini Kitalolo (Uji & maziwa)
Wenye kujua zaidi wataongeza...
Navyojua Mimi ni supu, mtori na uji wenye pilipili manga vinasaidia kukupa maziwa vizuri, japo mi uji wa pilipili manga ulinishinda, but ukiiweza ni mzuri sana