M Mbuna Senior Member Joined Aug 2, 2016 Posts 55 Reaction score 125 Aug 29, 2022 #1 Wakuu twende kwenye mada, hivi ukijiangalia kwenye kioo kikubwa usiku kwa muda mrefu ukiwa chumbani mwako ukiwa umezima taa je kuna madhara yoyote unaweza kuyapata kiroho? Wanazengo tupeni maoni yenu.
Wakuu twende kwenye mada, hivi ukijiangalia kwenye kioo kikubwa usiku kwa muda mrefu ukiwa chumbani mwako ukiwa umezima taa je kuna madhara yoyote unaweza kuyapata kiroho? Wanazengo tupeni maoni yenu.
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 52,840 Reaction score 131,433 Aug 29, 2022 #2 Achana na miiko ya kizamani, ile ilikuwa danganya toto Sijui usifagie usiku, mara usipige miluzi usiku eti unawaita majini Kumbe fix tu walifanya hivyo ili kuzuia kelele usiku watu wasipate bugdha wakilala
Achana na miiko ya kizamani, ile ilikuwa danganya toto Sijui usifagie usiku, mara usipige miluzi usiku eti unawaita majini Kumbe fix tu walifanya hivyo ili kuzuia kelele usiku watu wasipate bugdha wakilala
Jipu JF-Expert Member Joined Apr 20, 2015 Posts 2,701 Reaction score 5,574 Aug 29, 2022 #3 Sasa umeshazima taa halafu ni usiku utajionaje mkuu?
Mbabani JF-Expert Member Joined Jun 20, 2022 Posts 2,518 Reaction score 7,234 Aug 29, 2022 #4 Kuna mambo umeambiwa, hebu yaweke hapa tuanze nayo. Naona kama unatafta kuthibitisha jambo.
Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 23,011 Reaction score 32,907 Aug 29, 2022 #5 KIOO kinaweza kuonyesha majini, wachawi na vigagula vilivyomo chumbani kwako so take corrective measures Man down ....a Target is in position [emoji23][emoji23]
KIOO kinaweza kuonyesha majini, wachawi na vigagula vilivyomo chumbani kwako so take corrective measures Man down ....a Target is in position [emoji23][emoji23]
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,907 Reaction score 193,931 Aug 29, 2022 #6 Hakuna madhara yoyote...
Drc congo JF-Expert Member Joined Apr 3, 2019 Posts 638 Reaction score 2,917 Aug 29, 2022 #7 Hadith za kitoto izo
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,746 Reaction score 25,672 Aug 29, 2022 #8 jipu said: Sasa umeshazima taa halafu ni usiku utajionaje mkuu? Click to expand... Hata mimi nashangaa[emoji38][emoji38]
jipu said: Sasa umeshazima taa halafu ni usiku utajionaje mkuu? Click to expand... Hata mimi nashangaa[emoji38][emoji38]
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,837 Aug 29, 2022 #10 Waafrika tuna mambo ya ajabu sana wallahi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,837 Aug 29, 2022 #11 jipu said: Sasa umeshazima taa halafu ni usiku utajionaje mkuu? Click to expand...
EEX JF-Expert Member Joined Oct 19, 2014 Posts 4,312 Reaction score 13,966 Aug 29, 2022 #12 Kazi ipo.