changamoto za biashara hizo,cha msingi ni kuuwaeleza wateja wako ubora wa bidhaa zako,na utofauti wa bidhaa zako na zingine,ushindani kwenye bussiness ndo unaokujenga na kukufanya kujiamini,labda anayekuambia ananunua kwa buku ni kukupima kujua ubora wa bidhaa zako ili achukue,mteja ni mfalme usitake hisia zako zikakutawala kwenye biashara utapoteza customer,jaribu kutoa utofauti wa bidhaa zako ndo hivyoo tu mkuu
Wateja wengine vichefuchefu. Uko Katavi unauza mashati yako anatokea mteja anasema unauza elfu 25 mbona Kariakoo Dar elfu 15, jibu ni moja tu nenda Kariakoo achana na mimi.
Au umefungua mgahawa wako Dar sahani ya wali unauza 2500 anatokea jamaa anasema kule kwetu Kyela sahani ya wali ni 1000...jibu ni moja nenda kale Kyela
Page yako inaitwaje kule insta mkuu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usipo jiamin nakujua nn unataka kwenye biashara yako utayumbishwa na mtaji umejipinda kutafuta ila kwenye kuuza upangiwe na mteja mmoja wakati kuna kumi wanakwambia tuletee