Wote tunajua kuwa Oct 29 hakukuwa na uchaguzi. Pamoja na kwamba alijitangaza kwa 98% hatupaswa kumuunga mkono wala kumtambua.
Kujadili hotuba yake ni kumpa uhalali asiokuwa nao. Nafikiri wala tusimwite Rais bali tumwite Mama Samia tu inatosha.
Tumkaushie yeye na chawa wake