kikulacho... JF-Expert Member Feb 17, 2015 321 224 Nov 19, 2015 #1 habari zenu wakuu mrejesho kwa walioitwa ktk usaili chuo kikuu cha dodoma
J John W. Mlacha JF-Expert Member Oct 4, 2007 3,504 1,341 Apr 12, 2016 #3 kikulacho... said: habari zenu wakuu mrejesho kwa walioitwa ktk usaili chuo kikuu cha dodoma Click to expand... Kaka wewe ulifanya usaili lini?
kikulacho... said: habari zenu wakuu mrejesho kwa walioitwa ktk usaili chuo kikuu cha dodoma Click to expand... Kaka wewe ulifanya usaili lini?
W Wazamani3 Member Sep 18, 2014 42 78 Apr 12, 2016 #4 Black Bat said: Kaka wewe ulifanya usaili lini? Click to expand... Mwezi wa kumi na moja mkuu ila nasikia watu wapo kazini teyari
Black Bat said: Kaka wewe ulifanya usaili lini? Click to expand... Mwezi wa kumi na moja mkuu ila nasikia watu wapo kazini teyari
Saint Ivuga JF-Expert Member Aug 21, 2008 54,363 58,386 May 19, 2016 #5 Wazamani3 said: Mwezi wa kumi na moja mkuu ila nasikia watu wapo kazini teyari Click to expand... Waliitwa lini??? Manake toka mwezi wa kumi na moja natembelea website yao sijaona sehem waliyoita.. Au waliitana kimya kimya??
Wazamani3 said: Mwezi wa kumi na moja mkuu ila nasikia watu wapo kazini teyari Click to expand... Waliitwa lini??? Manake toka mwezi wa kumi na moja natembelea website yao sijaona sehem waliyoita.. Au waliitana kimya kimya??
jitizame JF-Expert Member Jan 23, 2014 371 306 May 19, 2016 #6 ht mm nilitumaga hapo maombi ya kazi ya civil technician lkn cjaona kuita ktk usail wala nn..