hayakuhusu lakini nakuambia mimi nimekuwa tanapa for almost 5 years na hakuna mbuga ya tanzania sijawahi kufika na kujionea hali halisi, anzia katavi-rukwa, hifadhi za ugala mkoa mpya wa katavi, panda hifadhi za manyara, njoo kwenye mapori ya burigi huko kagera na mapori ya muyovosi na gombe kigoma, njoo serengeti national park na vigame reserves vyake vya fort ikoma na ikorongo game reserves, panda pangani tanga na shuka kote huko ruaha na selous kote ni nyumbani.so in short mimi naijua tanapa yote na kila linalotendeka.niliachana na tanapa baada ya kuona majungu yamezi na watu kuwinda nafasi yangu whether iam dead or alive someone wanted it kwa kuahidiwa bahasha.so am talking from my experience kwamba kuna mtu wa ndani aliniambia kuwa hata ile interview waliyokuja kufanyisha dar mwaka jana mwezi wa 8 ilikuwa ushahidi tu kazi walikuwa wameshapewa waliotanguliza vibahasha