T Tinnah999 Member Joined Dec 19, 2018 Posts 5 Reaction score 0 Dec 20, 2018 #1 Habari wakuu, kuna ambaye ameshaitwa kwenye usahili MDH kwa kazi walizotoa September na November?
Ohanes Member Joined Apr 29, 2013 Posts 42 Reaction score 4 Dec 20, 2018 #2 Tinnah999 said: Habari wakuu, kuna ambaye ameshaitwa kwenye usahili MDH kwa kazi walizotoa September na November? Click to expand... Siku hizi mashirika yamegeuka kutangaza huku wakiwa na vimemo viunoni,, nadhani watakuwa wameshawafyekelea ,mbali
Tinnah999 said: Habari wakuu, kuna ambaye ameshaitwa kwenye usahili MDH kwa kazi walizotoa September na November? Click to expand... Siku hizi mashirika yamegeuka kutangaza huku wakiwa na vimemo viunoni,, nadhani watakuwa wameshawafyekelea ,mbali
Ndengaso JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 8,694 Reaction score 16,320 Dec 21, 2018 #3 Ofisi yao ya Geita imeshafunguliwa...hizo zilikua za mkoa gani ?
M mrsmau JF-Expert Member Joined Sep 4, 2016 Posts 462 Reaction score 490 Dec 21, 2018 #4 Hadi geita walitangaza yani hawaiti watu interview
MAUBIG JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,040 Reaction score 858 Dec 21, 2018 #5 Ohanes said: Siku hizi mashirika yamegeuka kutangaza huku wakiwa na vimemo viunoni,, nadhani watakuwa wameshawafyekelea ,mbali Click to expand... Huu ni ukweli mchungu kwakweli
Ohanes said: Siku hizi mashirika yamegeuka kutangaza huku wakiwa na vimemo viunoni,, nadhani watakuwa wameshawafyekelea ,mbali Click to expand... Huu ni ukweli mchungu kwakweli
Ubavu JF-Expert Member Joined Jun 19, 2012 Posts 2,790 Reaction score 3,272 Dec 21, 2018 #6 Tumeanza kazi toka mwezi wa kumi na moja
Dr. Wansegamila JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 2,995 Reaction score 8,273 Dec 21, 2018 #7 Tinnah999 said: Habari wakuu, kuna ambaye ameshaitwa kwenye usahili MDH kwa kazi walizotoa September na November? Click to expand... Watu waliitwa interview, na waliopita interview wako kazini tayari. Pole sana, usikate tamaa. Tinnah999
Tinnah999 said: Habari wakuu, kuna ambaye ameshaitwa kwenye usahili MDH kwa kazi walizotoa September na November? Click to expand... Watu waliitwa interview, na waliopita interview wako kazini tayari. Pole sana, usikate tamaa. Tinnah999
T Tinnah999 Member Joined Dec 19, 2018 Posts 5 Reaction score 0 Dec 22, 2018 Thread starter #9 Ubavu said: Tumeanza kazi toka mwezi wa kumi na moja Click to expand... nayosema ni kweli mkuu?
Ubavu JF-Expert Member Joined Jun 19, 2012 Posts 2,790 Reaction score 3,272 Dec 22, 2018 #10 Tinnah999 said: nayosema ni kweli mkuu? Click to expand... Nazingua mkuu. Mtafute mtu anayefanya kazi hapo atakupa authentic info
Tinnah999 said: nayosema ni kweli mkuu? Click to expand... Nazingua mkuu. Mtafute mtu anayefanya kazi hapo atakupa authentic info
T Tinnah999 Member Joined Dec 19, 2018 Posts 5 Reaction score 0 Dec 22, 2018 Thread starter #11 Dr. Wansegamila said: Watu waliitwa interview, na waliopita interview wako kazini tayari. Pole sana, usikate tamaa. Tinnah999 Click to expand... Ni kweli mkuu?
Dr. Wansegamila said: Watu waliitwa interview, na waliopita interview wako kazini tayari. Pole sana, usikate tamaa. Tinnah999 Click to expand... Ni kweli mkuu?
kedrick JF-Expert Member Joined Apr 25, 2015 Posts 5,286 Reaction score 5,274 Dec 25, 2018 #12 Tinnah999 said: Ni kweli mkuu? Click to expand... Tupo kula mashahara wa pili na posho ya sikukuku tumepewa juzi Sent using Jamii Forums mobile app
Tinnah999 said: Ni kweli mkuu? Click to expand... Tupo kula mashahara wa pili na posho ya sikukuku tumepewa juzi Sent using Jamii Forums mobile app
T Tinnah999 Member Joined Dec 19, 2018 Posts 5 Reaction score 0 Dec 26, 2018 Thread starter #13 kedrick said: Tupo kula mashahara wa pili na posho ya sikukuku tumepewa juzi Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Owky,enjoy
kedrick said: Tupo kula mashahara wa pili na posho ya sikukuku tumepewa juzi Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Owky,enjoy
Dr. Wansegamila JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 2,995 Reaction score 8,273 Dec 26, 2018 #14 Tinnah999 said: Ni kweli mkuu? Click to expand... Ni kweli mdada. Endelea kupambana though, usikate tamaa. Tinnah999
Tinnah999 said: Ni kweli mkuu? Click to expand... Ni kweli mdada. Endelea kupambana though, usikate tamaa. Tinnah999
Chizi Jambazi JF-Expert Member Joined Sep 22, 2017 Posts 1,859 Reaction score 1,455 Dec 26, 2018 #15 Tinnah999 said: Habari wakuu, kuna ambaye ameshaitwa kwenye usahili MDH kwa kazi walizotoa September na November? Click to expand... Endelea kuisoma
Tinnah999 said: Habari wakuu, kuna ambaye ameshaitwa kwenye usahili MDH kwa kazi walizotoa September na November? Click to expand... Endelea kuisoma
A Akili 2 JF-Expert Member Joined Jul 2, 2018 Posts 1,221 Reaction score 1,856 Dec 27, 2018 #16 achana nao hao,
M mwita ke mwita JF-Expert Member Joined Aug 13, 2010 Posts 8,058 Reaction score 3,755 Dec 27, 2018 #17 kutangaza huwa ni compliance tu