Kumbe kuelewa nacho kipaji aisee,sasa hapo kinachokuchanganya nini?? Kwani ukifanya Leo interview na kazi ukaanza mwezi wa 9 kuna athari gani kwa zuio LA uhakiki??
Kumbe kuelewa nacho kipaji aisee,sasa hapo kinachokuchanganya nini?? Kwani ukifanya Leo interview na kazi ukaanza mwezi wa 9 kuna athari gani kwa zuio LA uhakiki??
Kama wanaita watu basi uhakiki umeisha....maana usahili ni sehemu ya ajira na ndo maana sekretariat ya ajira walisitisha usahili wote waliokuwa washautangaza....
Halafu kigezo cha umri hivi kinatoka wapi ? Maana nilisikia hata ajira nyeti wanapendelewa vijana. Inabidi tupinge ubaguzi wa aina zote kuanzia umri hadi rangi katika ajira zetu .
Mkuu kazi wanaanza lini?
Maana hawa nao ni watumishi wa umma ambao in turn ajira zao zimesitishwa....
Sema mimi nimeanza kuhisi kitu kimoja...kwamba hili zuio la ajira litakuwa linaondolewa kimya kimya kwa taasisi ambazo zina unyeti wa kuhitaji watu....Mfano TRA inahitaji nguvu kazi ili kodi ikusanywe....Na kuna baadhi ya kada zitaenda hata mpaka mwaka kesho bado wanaambiwa ajira zimesitishwa..