M mwisho wa reli Member Joined Apr 21, 2015 Posts 10 Reaction score 0 May 13, 2015 #1 Ndugu wapendwe hivi BOT wameshaita watu kufanya interview kwenye zile nafazi za note counter? kwa anae fahamu naomba anifahamishe
Ndugu wapendwe hivi BOT wameshaita watu kufanya interview kwenye zile nafazi za note counter? kwa anae fahamu naomba anifahamishe
Th los proffcnal JF-Expert Member Joined Feb 8, 2015 Posts 583 Reaction score 348 May 13, 2015 #2 Kama huna mtu kule nafasi itakupita hiyo...
chief bazoka Member Joined Jan 31, 2014 Posts 97 Reaction score 22 May 14, 2015 #3 Washaita mkuu kama huna mtu huko hupati kazi
shemweta91 Senior Member Joined Sep 4, 2013 Posts 101 Reaction score 18 May 14, 2015 #4 chief bazoka said: Washaita mkuu kama huna mtu huko hupati kazi Click to expand... wameita lin mbona mnamtisha mwenzenu?
chief bazoka said: Washaita mkuu kama huna mtu huko hupati kazi Click to expand... wameita lin mbona mnamtisha mwenzenu?
chief bazoka Member Joined Jan 31, 2014 Posts 97 Reaction score 22 May 14, 2015 #5 Kitambo wiki mbili sasa kuna dogo alipigiwa pande tupo nae mtaa kaitwa
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 12,054 Reaction score 16,509 May 14, 2015 #6 Hawajaitwa,Bot huwa wanachukua muda mrefu sana kuita,kwa hyo kuwa mvumilivu tu kijana.
N Neriah JF-Expert Member Joined May 7, 2012 Posts 267 Reaction score 103 May 14, 2015 #7 Jamani kuna mwenye taarifa ya interview ya bandari kwa ma legal officer nafasi walitangaza mwezi wa kwanza
Jamani kuna mwenye taarifa ya interview ya bandari kwa ma legal officer nafasi walitangaza mwezi wa kwanza
N Neriah JF-Expert Member Joined May 7, 2012 Posts 267 Reaction score 103 May 14, 2015 #8 Jamani tpa walivyotoa nafasi za kazi kwa wanasheria mwezi wa kwanza vpi kuna watu wameilp,,,
N Neriah JF-Expert Member Joined May 7, 2012 Posts 267 Reaction score 103 May 14, 2015 #9 Kuna,watu wameitwa mwenye uelewa basi
TO2004 JF-Expert Member Joined Jan 11, 2013 Posts 540 Reaction score 220 May 14, 2015 #10 Sijui chochote ila usiwategemee sana hawa TPA maana ajira zao zimekaa kijanjajanja sana.
A amina nyirenda New Member Joined Apr 23, 2015 Posts 4 Reaction score 0 May 14, 2015 #11 TO2004 said: Sijui chochote ila usiwategemee sana hawa TPA maana ajira zao zimekaa kijanjajanja sana. Click to expand... jaman na kuhusu postal clerk wameshaita?
TO2004 said: Sijui chochote ila usiwategemee sana hawa TPA maana ajira zao zimekaa kijanjajanja sana. Click to expand... jaman na kuhusu postal clerk wameshaita?
G GWAKUMYITU Member Joined May 12, 2015 Posts 8 Reaction score 0 May 15, 2015 #12 note counter bot bado hawajaitwa. kama vp tafuta tempo maana bot si ajabu ikapita hata miezi 6 ndio uitwe
note counter bot bado hawajaitwa. kama vp tafuta tempo maana bot si ajabu ikapita hata miezi 6 ndio uitwe
Th los proffcnal JF-Expert Member Joined Feb 8, 2015 Posts 583 Reaction score 348 May 22, 2015 #13 Hapo mpaka watu wakate tamaa ndo wanaita watu afu wengi wanaotuma huwa na kazi tayari ndo shida...