new generation
JF-Expert Member
- Mar 14, 2012
- 815
- 1,725
Ulifukuzwa pale EFC?, Elimu yako je?:israel:, utendaji kazi?... Subiri maafisa mikopo wenzako waje.
Propabation laki 5 after laki 7 inategemea na majukumu yako
Inaanza lini ndugu? naomba mrejesho tafadhali
Jumatatu ya tarehe 16
Aisee kaka credit officer is all about meet the target, Jitahidi tu kupiga mzigo,meet target ndio utaenjoy u credit officer, otherwise itakuwa kama EFCKaka nili resign tena kwakutoa resignation letter ya 24hourz! Sikufukuzwa but niliacha kutokana na kua nilipewa target with no means of achieving given target!
Jaman habari za kwenu!
Nilifanya interview pale finca dar sasa nimepigiwa simu kua nimefauru interview so nabidi niende training! Post ni credit officer! Jaman nambie payment zao na kazi yenyewe ilivo kwa walio wahi kufanya FINCA! Kumbuka pia nilisha wah fanya kazi ya uafisa mikopo kwa mwezi mmoja pale EFC kijitonyama nkaacha kazi!
Je FINCA kukoje wadau!?