Kuitwa kazini tena Kilimo na mifugo

Joined
Feb 7, 2014
Posts
82
Reaction score
8
Ndugu wana Jf,
Utumishi wameita watu kazini tena kwa kada za kilimo na mifugo! Naomba wadau mtupie humu.
 
mbona wameita watu kitambo sana na walioitwa tayari wameshaenda kuripoti kwa waajiri wao??wewe ndo umesikia leo au?unataka tuweke humu kwanini usiingie tu www.ajira.go.tz ukaangalia mwenyewe?
 
Wameongeza majina mengine jana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…