Mkuu si ungeuliza tù hapa na ungepata msaada wa haraka?Wadau kama kuna mtu yupo huko au anamfahamu aliepo huko naomba tafadhari aniunganishe kuna vitu nataka kuuliza!!!!!
Coz nimesikia wameitwa baadhi ya kada ila nyingine bado hawajaita
[HASHTAG]#Shukrani[/HASHTAG]
Wadau kama kuna mtu yupo huko au anamfahamu aliepo huko naomba tafadhari aniunganishe kuna vitu nataka kuuliza!!!!!
Coz nimesikia wameitwa baadhi ya kada ila nyingine bado hawajaita
[HASHTAG]#Shukrani[/HASHTAG]
etumiwa sms ya kuitwa kazini kuanzia Jumatatu ya tarehe 13 yaani wiki ijayo!Wasalaam
Natumai ni wazima wa afya
Tafadhari tupeane updates zozote kuhusu kuitwa kazini baada ya interview iliyofanyika ngorongoro February mwaka huu
Tuliambiwa baada ya wiki 2 lakini sasa tunaianza wiki ya 5,kama kuna muhusika yeyote huku jf Tafadhari tupeni updates kama nafasi zimeshachukuliwa juu kwa juu tuambieni pia
[HASHTAG]#hoping[/HASHTAG] for + responses!!!
Wametumiwä au watatumiwa?Wam
etumiwa sms ya kuitwa kazini kuanzia Jumatatu ya tarehe 13 yaani wiki ijayo!
wametumiwa, wanatakiwa kureport kazini kuanzia Jumatatu!Wametumiwä au watatumiwa?
wametumiwa, wanatakiwa kureport kazini kuanzia Jumatatu!Wametumiwä au watatumiwa?