M Mama Jolene Member Joined Mar 30, 2012 Posts 17 Reaction score 3 Dec 19, 2012 #1 Wajameni nauliza kama kuna tetesi za lini wataita kazini nafasi za afisa tarafa kwa wale tuliofanya interview tarehe 5 oct.
Wajameni nauliza kama kuna tetesi za lini wataita kazini nafasi za afisa tarafa kwa wale tuliofanya interview tarehe 5 oct.
M Morick Senior Member Joined Dec 11, 2012 Posts 114 Reaction score 17 Dec 22, 2012 #2 Mama Jolene said: Wajameni nauliza kama kuna tetesi za lini wataita kazini nafasi za afisa tarafa kwa wale tuliofanya interview tarehe 5 oct. Click to expand... Walishaita kitambo, nipo rungwe kwa holiday kuna jamaa yangu nimekutana naye leo ametoka kuriport
Mama Jolene said: Wajameni nauliza kama kuna tetesi za lini wataita kazini nafasi za afisa tarafa kwa wale tuliofanya interview tarehe 5 oct. Click to expand... Walishaita kitambo, nipo rungwe kwa holiday kuna jamaa yangu nimekutana naye leo ametoka kuriport
M Mama Jolene Member Joined Mar 30, 2012 Posts 17 Reaction score 3 Dec 22, 2012 Thread starter #3 Mbona hawajatoa majina? Tulifanya interview mwezi wa kumi, hebu muulize pls yeye alipata vipi taarifa?
Mbona hawajatoa majina? Tulifanya interview mwezi wa kumi, hebu muulize pls yeye alipata vipi taarifa?