habari zenu wadau..
kuna yeyote mwenye taarifa kuhusu ile Oral interview ya TRA iliyofanyika pale msimbaz centre 28/03/2012 ya nafas za customs officers(40)?Je watu wameshaitwa kazini?naomba mwenye taarifa ya uhakika atujuze kinachoendelea.
Aksanteni.
Mkuu nimekujibu tu kwa kuwa naona ni watu wengi wameisoma huu uzi bila kutilia mchango wao. Kwa kweli sina taarifa yeyote, ila kwa idadi kubwa ya watu walioifungua hii thread bila kuandika chochote, nahis hakuna ambae atakua na taarifa.
tuendelee kuwasubiry na kupeana taarifa vile vile
habari zenu wadau..
kuna yeyote mwenye taarifa kuhusu ile Oral interview ya TRA iliyofanyika pale msimbaz centre 28/03/2012 ya nafas za customs officers(40)?Je watu wameshaitwa kazini?naomba mwenye taarifa ya uhakika atujuze kinachoendelea.
Aksanteni.
Kwa muujibu wa mtu aliyepo humo Mamlaka walioitwa kazini nafasi za customs hivi karibuni ni wale waliofanya usahili December 2011. Waliofanya usahili March 2012 bado hawajaitwa.