Kuitwa Interview TANESCO

kashikashi

Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
14
Reaction score
0
Hivi jamani TANESCO wameshaita watu wa kufanya interview? maana walitangaza kazi majuzi juzi apa mwezi 2 kwenda wa 3 kama sikosei.

Naombeni mnifahamishe
 
Jamani Interview ya Tanesco ishafanyikA AU BADO?kazi walizotangaza mwezi wa pili....naombeni majibu maana sioni simu wala mail,nijue kama nimetoswa au lah
 
Nadhani bado manake hata mi niliomba na siijasikia chochote...incase nikisikia nitawajulisha pia
 
Hivi jamani TANESCO wameshaita watu wa kufanya interview? maana walitangaza kazi majuzi juzi apa mwezi 2 kwenda wa 3 kama sikosei.

Naombeni mnifahamishe

Kuna rafiki yangu kapigiwa cm last WK akafanye Tanesco kibaha.we uliomba mini?
 
Jamani Interview ya Tanesco ishafanyikA AU BADO?kazi walizotangaza mwezi wa pili....naombeni majibu maana sioni simu wala mail,nijue kama nimetoswa au lah

Kwani hawakusema ''only shortlisted candidates will be contacted''?
 
ofic ya Public relation walishaanza kazi long time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…