Kuitwa interview hewa???

Totoz

Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
99
Reaction score
18
habari wanajf... Hivi inamaana gani unapigiwa simu uende kwenye interview, inafika siku unaenda katika chumba cha interview unaambiwa hiyo post ulioomba imejaa.??
 
Tulia basi uandike vzr au ndio mambo ya xmass umeshajidunga?Taja jina la kampuni au ofisi,mkoa iliopo kwan waweza pata majibu mazuri kuliko unavyodhani!FUNGUKA VZR KILA KITU,POST WALITANGAZA KWENYE RADIO,TV AU NEWSPAPERS AU ULITONYWA KISHKAJI?
 
nafasi ilitangazwa hapa jf zile za kampuni ya tv... Ipo dar.... Unaambiwa wamezingua hatari yani wanakuvurugia ratiba zako unajua naenda kufanya kitu. Kufika huko unaambiwa nafasi zime jaaa. Nikampuni mpya ya tv ipo dar.
 
nafasi ilitangazwa hapa jf zile za kampuni ya tv... Ipo dar.... Unaambiwa wamezingua hatari yani wanakuvurugia ratiba zako unajua naenda kufanya kitu. Kufika huko unaambiwa nafasi zime jaaa. Nikampuni mpya ya tv ipo dar.

Mbona unapepesa macho ni azam TV Hao
 
Pole mkubwa those are peace takers walishawekana wenyewe kwa wenyewe, wanapotezea watu muda tu kutimiza sheria za uajiri za nchi tu hapo wewe wamekwambia hivyo huku kwenye report wanaandika mtu kafanyiwa interview siku yako uliyoenda basi yaani ujinga mtupu
 
Walijua ww n boya ndo maana walizngua, hiv unashindwa nn wataja ili GT tutoe yetu ya moyoni?

kweli wewe pumba kabisa yani. Hivi unadhani nikikutajia ndo utaenda au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…