I IBM2014 JF-Expert Member Mar 2, 2014 929 168 Sep 2, 2015 #61 Sio sahihi kimila wala kidinihapo mnazini tu
The Evil Genius JF-Expert Member Mar 21, 2014 5,496 17,410 Sep 2, 2015 #62 Muulize dokta slaa anajua hiyo ndoa inaitwaje maana yeye yuko advanced kidogo anaishi na mke wa mtu ndani
Muulize dokta slaa anajua hiyo ndoa inaitwaje maana yeye yuko advanced kidogo anaishi na mke wa mtu ndani
uttoh2002 JF-Expert Member Feb 3, 2012 14,765 26,679 Sep 2, 2015 #63 Ni vyema mkiwa na ndoa, labda sababu ya kufanya hivyo ni nini?
charty JF-Expert Member Oct 28, 2013 7,460 5,975 Sep 2, 2015 #65 hivi ndo dini zile zenye sheria kali..ukifa kama hujafunga ndoa hawakuziki..mhh kaazi kwelikweli
Executivesister JF-Expert Member Aug 7, 2012 514 594 Sep 2, 2015 #66 Duh.Sogea tuishi au Come and stay,I hate this style kwa kweli bora niendelee kuishi mwenyewe.
K KAMANDA MKUBWA JF-Expert Member Jul 11, 2015 288 78 Sep 4, 2015 #69 Ni uchumba sugu, japo kiserikali inaweza ikatambulika kuwa ni nda kwenye mazingira fulani
love more than100 JF-Expert Member Jan 27, 2014 2,061 713 Sep 5, 2015 #71 The Unknown said: Muulize dokta slaa anajua hiyo ndoa inaitwaje maana yeye yuko advanced kidogo anaishi na mke wa mtu ndani Click to expand... Jmn vitu vngne c vya kucheka ila havizuiliki kutochekaa
The Unknown said: Muulize dokta slaa anajua hiyo ndoa inaitwaje maana yeye yuko advanced kidogo anaishi na mke wa mtu ndani Click to expand... Jmn vitu vngne c vya kucheka ila havizuiliki kutochekaa
ISLETS JF-Expert Member Dec 29, 2012 8,121 5,332 Sep 5, 2015 #72 nadorim said: Habari wanaJf wazima wote? Ningependa kuuliza je kuishi na mwanamke/mwanaume kinyumba mkiwa hamjafunga ndoa ya kidini/kimila. Je, hii inahesabika ni ndoa au style hii ya maisha na inaitwaje? Kuuliza so ujinga Asante Click to expand... style inaitwa kutorosha
nadorim said: Habari wanaJf wazima wote? Ningependa kuuliza je kuishi na mwanamke/mwanaume kinyumba mkiwa hamjafunga ndoa ya kidini/kimila. Je, hii inahesabika ni ndoa au style hii ya maisha na inaitwaje? Kuuliza so ujinga Asante Click to expand... style inaitwa kutorosha
Ynaa JF-Expert Member Oct 18, 2013 252 173 Sep 5, 2015 #73 Hiyo yaitwa Bokoharamu staili,si unajua wale jamaa hawajatoa mahari lakin.wanaish na mabinti huko mstuni!!
Hiyo yaitwa Bokoharamu staili,si unajua wale jamaa hawajatoa mahari lakin.wanaish na mabinti huko mstuni!!