Kuingia vyuoni mwaka huu

Ushirombo

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
3,558
Reaction score
2,711
Jamani, hivi mwaka huu mbona sielewi muda gani wanafunzi wanaoanza mwaka wa kwanza wanaingia mwezi gani? Au majina yanatoka lini?

Kwa anaejua, please nijuze.
 
Majina yanatoka mwezi huu mwishoni, chuo October
 
SERIKALI: Vyuo vitafunguliwa kati ya tar 4-5 November 2015
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…