Kuhusu utaratibu

Kauzu Kinyama

Member
Joined
Aug 13, 2011
Posts
41
Reaction score
5
Kwa upole na busara tu jamani naomba tuelezane ni wapi kumekuwa na fair play katika mchakato wa kupata wagombea wa uraisi kati ya CCM na CHADEMA.

Kati ya Slaa na Lowassa nani kakatwa kwa kudharauliwa?
 
Rough imechezwa kotekote....Lakini ya Dr Slaa..No..! Hakuruhusiwa hata kuitia fomu mikononi..Kaisikia kwenye bomba tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…