Yep, Kwa Tanzania ni UCC ( kwa internet based exam), sina uhakika na centre za International schools za Moshi na Dar bado zina-hosts hizi pepa.
La muhimu ni kujua hizi pepa ni za msimu, hivyo inabidi ujiandikishe mapema ili kuwahi nafasi, kwa kuchek vizuri tarehe zao kwenye web yao. Kuna miezi fulanifulani ambayo huwa ni peak, yaani test-takers wanakuwa wengi.
Hope this helps.