INASEMEKANA
Pato lao kwa siku Ni zaidi ya million 75 tsh.
Kusanyo la kituo cha kimara peke yake Ni zaidi ya Tsh 35 million.
Mwendokasi ulipa Kodi ya barabara ya Tsh million 9 kwa serikali kila siku.
Wakati madereva wanaajiliwa waliambiwa mshaara million 1, baaada ya kuanza kazi ikashuka mpaka laki 8, wakaajiliwa wengine mshaara ukawa laki 6 na Kuna wengine wanalipwa mpaka laki 3 na nusu madereva ao ao, kwa ivyo Kuna madereva ulipwa laki nane, wengine laki sita na wengine laki 3 na nusu.
Chanzo makini ndani ya mradi kinadai watu flani flani siku izi wanaleta tickets zao walizochapisha kwenye machine zao na kuja kuziuza pale kimara mpaka kusababisha mapato ya mradi kushuka kwa kimara kutoka 30 mll mpka 15 Mill kwa siku.
Mengine mazito zaidi naomba nisiyaseme......ivyo mamlaka ichunguze Kama tuhuma izi Ni za kweli kwakuwa zimetoka ndani umo umo ya mradi na wahusika.
Naomba kuwakilisha.