Wakuu kama kuna mtu ana majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na chuo hiki naomba anisaidie kupata majina yao au kama kuna link ambayo naweza kuyapata pia anaweza kunisaidia maana nimeingia kwenye website yao sijafanikiwa kuyapata.
msaada wemu wakuu